Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran Abbas Araghchi amewataka wale wanaopinga takwimu za idadi ya vifo vya waandamanaji iliyotolewa na serikali watoe ushahidi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, mapema leo amemtaka yeyote anayepinga idadi rasmi iliyotolewa na serikali ya vifo 3,117 vilivyotokana na maandamano ya Disemba na Januari atoe ushahidi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, IAEA Rafael ...
Rais Donald Trump amesema siku ya Alhamisi anaamini Iran inaweza kufikia makubaliano ndani ya siku 10 hadi 15. Hata hivyo, ...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi ameelekea Saudi Arabia Jumatano, Oktoba 9, kama kituo cha kwanza katika ziara ya Ghuba ambayo pia inajumuisha Qatar. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand Sihasak Phuangketkeow anasema nchi yake inataka kuhudumu kama daraja linaloirejesha ...
Iran na Marekani zimekubaliana "kuendelea na mazungumzo yao," Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza siku ya Ijumaa baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo yaliyofanyika Oman, ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema "vipengele vingi" vya makubaliano ya amani nchini Ukraine vimekubaliwa na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin. Trump ameyasema hayo kabla ya mazungumzo yao ya simu ...