Kwa mara ya kwanza baada ya wiki kadhaa, Urusi imevunja ukimya wake na kuamua kuzungumzia suala la wapiganaji wa Kiafrika ...
Mashambulizi matano dhidi ya vituo vya afya yamewaua makumi ya watu nchini Sudan tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Haya ...
WATOA huduma za uwekezaji nchini 110 wamepatiwa leseni huku wakiaswa mambo 10 ikiwemo kuwashika mkono wawekezaji wa ndani ili kutimiza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na wawekezaji wengi wa ...
Serikali ya Japani imetangaza kwamba itatoa michango ya ziada ya kifedha ili kusaidia miradi ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO nchini Ukraine, Palestina na kwingine ...
Operesheni kubwa iliyofanywa mwishoni mwa wiki iliyopita na Idara ya Uhamiaji ya Zambia katika jiji la Ndola ilisababisha ...
Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na Kiafrika waliofukuzwa kutoka Marekani wanabaki Panama, kwa kukosa mahala pa kwenda.
Idadi ya watalii wa kigeni nchini Japani ilipungua mwezi Januari kwa asilimia 4.9 kutoka mwezi kama huo mwaka jana, kwa kiasi fulani ni kutokana na kupungua kwa idadi ya wasafiri kutoka China huku uhu ...
Kwa Donald Trump, Somalia ni nchi ambayo "inanuka" na wale waliohama kutoka huko kwenda Marekani na wazao wao, "takataka" ambazo lazima ziondolewe. Rais wa Marekani alishangaza Jumanne iliyopita kwa ...