Iwapo unatafuta taarifa kuhusu kipindi cha karibuni zaidi cha Keeping Up With the Kardashians kuhusu maisha ya Kim Kardashian-West na jamaa zake, au pengine unatafuta za karibuni zaidi kuhusu Kanye ...
Jua huwa na joto sana, kwa hivyo linafaa kuwa na moto mkali. Wanaosafiri anga za juu huwa wako mbali sana na Dunia, kiasi kwamba huwa hawahisi nguvu mvuto zozote. Ni kweli? La hasha. Hapa tunaangazia ...
Hebu pia hapa uwasikilize vijana wanavyosema kuhusiana na muda ambao wao wanaona unafaa kujiengua na mahusiano waliyonayo. #Kurunzi Matangazo Ruka sehemu inayofuata Mada zinazohusiana Mada ...
Je, ulikuwa na umri gani ulipopata "boyfriend" au "girlfriend" wako wa kwanza? Na unadhani ni umri gani sahihi kwa vijana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi? Mara nyingi wazazi wanakuwa na mtazamo ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...