Vyombo vya habari vya Marekani vinasema kampuni kubwa ya teknolojia, Google, inapanga uwekezaji mkubwa katika kampuni ...
Serikali ya Lebanon inasema watu 12, wakiwemo watoto wawili, waliuawa baada ya maelfu ya vifaa vya mawasiliano vinavyotumiwa na kundi lenye silaha la Hezbollah kulipuka. BBC Verify imekuwa ikitafuta ...
Nchini Tanzania, serikali imefuta leseni 40 za uchimbaji madini. Kulingana na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, kampuni ...
Mpango wa kampuni kubwa ya mafuta ya Kifaransa ya TotalEnergies kutekeleza mradi wa bomba la mafuta Afrika Mashariki umeharibu vyanzo vya kujipatia kipato kwa maelfu nchini Uganda na utachangia katika ...
Mahakama nchini Uholanzi imeagiza kampuni ya mafuta ya Shell kuwalipa fidia wakulima katika jimbo la Niger Delta nchini Nigeria ambao waliathiriwa na kufuja kwa mafuta katika mashamba yao. Uamuzi huo ...