Wanasayansi wanaamini kuwa wamebaini kinyonga mdogo zaidi duniani ambaye ukubwa wake ni sawa na mbegu. Vinyonga hao wawili ilibainika nchini Madagasca na timu ya sayanasi ya Ujerumani na Madagasca.
Rais wa zamani wa Benin Mathieu Kerekou aliyejulikana kwa jina la utani 'kinyonga' ameaga dunia. Kerekou aliiongoza Benin kwa miaka 30 baada ya mapinduzi ya serikali na baadaye baada ya chaguzi za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results