"Anaponiuliza kuhusu familia yake siwezi kumjibu. Badala yake, mimi huvuta pumzi na kujaribu kukwepa swali hilo kwa njia ya kitoto kwa kubadilisha mada." Moein Abu Rezk ndiye jamaa pekee aliyesalia wa ...
Kamati ya kimataifa ya kuwalinda waandishi wa habari CPJ imezindua kampeni kubwa kuhusu kisa cha kupotea mwandishi habari wa nchini Tanzania Azory Gwanda ambaye kesho Ijumaa anatimiza siku 500 tangu ...
Kiongozi huyo wa RSF hajaonekana kwa siku zaidi ya 40. Jenerali, Hemedti, hajawasiliana kupitia vyombo vya Habari au hata mitandao ya kijamii, kama ilivyokuwa mwanzoni mwa vita hivi, katikati ya mwezi ...
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimewaamuru wanachama na wafuasi wake kuingia mtaani kumsaka Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, kikidai kuwa hawajui yuko wapi na ana hali gani ...